WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROFESA ADOLF MKENDA AKIWA AMENYANYUA JUU TUZO YA SHUKRANI KWA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akiwa amenyanyua juu Tuzo ya Shukrani kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) yaliofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *