Mhe. Rais samia suluhu hassan, akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu na chuo kikuu cha taifa cha zanzibar (suza) kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia sekta ya utalii kwenye Hafla ya Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu tarehe 28 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia Sekta ya Utalii kwenye Hafla ya Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu tarehe 28 Desemba, 2023.