MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NA VIONGOZI WENGINE AKIWA KWENYE MAANDAMANO YA KITAALUMA (SUZA)

Mhe. Rais samia suluhu hassan na viongozi wengine akiwa kwenye maandamano ya kitaaluma wakati walipokuwa wakiingia kwenye Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu kwa ajili ya kushiriki Hafla ya Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

Chuo hicho kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia Sekta ya Utalii tarehe 28 Desemba, 2023.

Mhe. Rais samia suluhu hassan na viongozi wengine akiwa kwenye maandamano ya kitaaluma wakati walipokuwa wakiingia kwenye Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Kampasi ya Tunguu kwa ajili ya kushiriki Hafla ya Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Chuo hicho kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia Sekta ya Utalii tarehe 28 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *