NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, MHE. DKT. DOTO BITEKO AMESEMA KUWA, UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS UMEFIKIA ASILIMIA 94.78

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, utekelezaji wa  mradi wa umeme wa Julius Nyerere utakaozalisha megawati 2,115 kwa sasa umefikia asilimia 94.78 huku mashine mbili za kuzalisha umeme zikiwa tayari zimeshafungwa kuanza kuzalisha umeme.

 mradi wa umeme wa Julius Nyerere utakaozalisha megawati 2,115 kwa sasa umefikia asilimia 94.78

Chanzo: Maelezo NEWS www.x.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *