MATUKIO MBALI MBALI SIKU YA KUZALIWA MHE, DR. SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki mara baada ya kupanda mti eneo la Donge Muwanda, Zanzibar katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Kijana Sabrina Said Soud kutoka Green Samia wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Kijana George Joshua kutoka Green Samia wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo imefanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Sheha wa Shehia ya Donge Muwanda, Abdallah Hambali wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo imefanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais l Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Muembe Pembeni (Mangifera indica) katika eneo la Donge Muwanda, Zanzibar wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Upandaji miti ulifanyika katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais l Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Muembe Pembeni (Mangifera indica) katika eneo la Donge Muwanda, Zanzibar wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Upandaji miti ulifanyika katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Donge Muwanda mara baada ya kupanda mti pamoja na kukata keki wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya  kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *