RAIS DKT, SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa tanzania pamoja na Jaji mkuu wa Tanzania wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *