SPIKA MSTAAFU JOB NDUGAI NA MHE MKUU WA MKOA DODOMA ROSE SENYAMULE KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Spika Mstaafu Mhe. Job Ndugai akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *