RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APOKELEWA KATIKA KASRI LA KIFALME NCHINI NORWAY

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokelewa katika Kasri la Kifalme nchini Norway ambapo amewasili leo kwa ziara ya kitaifa. Katika ziara hiyo pamoja na mambo mengine atafanya mazungumzo na Mfalme Herald pamoja na kushiriki Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Norway.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *