RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE MNARA WA KUMBUKUMBU NCHI NORWAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *