Mhe. Caesar C. Waitara,Balozi wa Tanzania nchini Namibia leo tarehe 20 Februari 2024 alimtembelea Mhe.Sam Nujoma,Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo nyumbani kwake jijini Windhoek,Namibia.
Lengo la kumtembelea ilikuwa ni kujitambulisha na kumjulia hali Mhe.Nujoma.

Mhe. Caesar C. Waitara amkabidhi zawaidi Mhe.Sam Nujoma.