TANZANIA YAPOKEA TUZO YA AMANI DUNIANI

Makamu wa Rais Mhe Dkt. Philip Mpango akipokea Tuzo ya Amani Duniani iliyotolewa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Dhima ya Lugha za Asili katika kuendeleza Diplomasia ya Uchumi na Utamaduni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *