Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 05, 2024 atazungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani inayofanyika kitaifa mkoani Dar es Salaam kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni Wakunga:Suluhisho la Mabadiliko ya Tabia ya Nchi.