Wizara ya Fedha imetangaza kuja na mfumo rasmi wa mtandaoni (Wastaafu Portal) kwa ajili ya Wastaafu kujua na kufuatilia taarifa zote kuhusu mafao yao
na kukomesha kabisa watu ambao wamekuwa wakiwasiliana na Wastaafu na kuwaomba pesa ili wawasaidie kupata mafao yao na mwisho wa siku wanawatapeli.
Aidha, Wastaafu Portal itaondoa adha ya Wastaafu kulazimika kufika ofisini kila mwaka kwa ajili ya kuhakikiwa, bali ataweza kujihakikiwa mwenyewe akiwa popote pale.
Picha ya Pamoja