WATANZANIA WASHEREHEKEA MWAKA WA UTAMADUNI NA UTALII KATI YA CHINA NA TANZANIA

Watanzania mjini Beijing wakitoa burudani ya ngoma za asili na ngoma za kusheherekea Mwaka wa Utalii na Utamaduni kati ya China na Tanzania, huku Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Angellah Kairuki na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro wakiwa katika ziara ya siku mbili jijini Beijing. (Picha kwa hisani ya Li Hao/GT)

(Picha kwa hisani ya Li Hao/GT)

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro

(Picha kwa hisani ya Li Hao/GT)

(Picha kwa hisani ya Li Hao/GT)

Msanii wa Muziki kutoka Tazania Bwana Mrisho Mpoto akitumbuiza

Chazo cha Habari na GLOBAL TIMES CHINA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *