WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA JUU NA DARAJA LA PILI KWA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA (TCTA UKONGA).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 15, 2023, amewasili katika viwanja vya Jeshi la Magereza Ukonga ambako atakuwa Mgeni Rasmi…