DKT. ELLEN MKONDYA-SENKORO, MKURUGENZI MTENDAJI WA BENJAMIN MKAPA FOUNDATION, ATUNUKIWA DIGRII YA UZAMIVU YA HESHIMA (YAANI HONORARY DOCTOR OF SCIENCE, HONORIS CAUSA)
Seneti ya Hubert Kairuki Memorial University (HKMU) imemtunuku Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro, Mkurugenzi Mtendaji wa Benjamin Mkapa Foundation, Digrii ya Uzamivu ya…