Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Tandahimba Mtwara waliojitokeza Uwanja wa Majaliwa kwenye Mkutano wa hadhara leo September 16,2023.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo Rais Dkt, Samia amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za kijamii ikiwemo Afya,Elimu, Miundombinu, Kilimo na sekta nyingine Ili kupunguza kero na Changamoto za Wananchi.