Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari itakuwa na Hafla ya Utiaji saini Hati ya Maridhiano na Hati ya Mkataba wa Nyongeza kwenye miundombinu ya mkongo wa mawasiliano kati ya Wizara Ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia Ya Habari na Umoja wa Watoa Huduma za Mawasiliano (Consortium of Telco Operators)
Hafla hiyo itafanyika Hoteli ya Serena Dar es salaam Tatehe 25 Septemba 2023.
Mgeni Rasmi anatakuwa Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.