Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amefanya kikao na Jumuiya ya Wanadiplomasia nchini.
Mhe. Makamba ameainisha maeneo ya kipaumbele ya Wizara katika kuimarisha ushirikiano wa uwili, kikanda na Kimataifa na pia ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana nao kwa maslahi ya pande zote.
Jumuiya ya Wanadiplomasia