MAMA MARIAM MWINYI AREJEA ZANZIBAR

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameagwa rasmi na mwenyeji wake Mke wa Rais wa Burundi Mhe.Mama Angeline Ndaishimiye baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 3 ya kushiriki Mkutano wa viongozi Wanawake uliofanyika Burundi.

ama Mariam amerejea Zanzibar leo 12 Oktoba 2023.

Aliagwa na Balozi wa Tanzania Nchini Burundi Mhe.Gelasius Gaspar Byakanwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *