WAZIRI WA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO MHE. DKT. DAMAS NDUMBARO AKABIDHI TUZO ZA HOLLYWOOD AND AFRICAN PRESTIGIOUS AWARDS (HAPAWARDS)

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akimkabidhi Muigizaji wa Filamu Bw. Jacob Steven (JB)Tuzo ya Hollywood and African Prestigious Awards (Hapawards) 2023 kutoka nchini Marekani katika Kipengele Cha Muigizaji Bora wa Filamu “Best Bongo Movie Actor” zilizofanyika hivi karibuni nchini Marekani.

Tukio hilo limefanyika Oktoba 17, 2023 Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akimkabidhi Tuzo Mwakilishi wa Mwanamuziki Saraphina Michael ( Phina) kutoka Hollywood and African Prestigious Awards (Hapawards) 2023 ya nchini Marekani katika Kipengele Cha Mwanamuziki Bora wa Kike Muziki wa Bongo Fleva, Afrika Mashariki (Best Female in Bongo Fleva East Africa) zilizofanyika hivi karibuni nchini Marekani.

Tukio hilo limefanyika Oktoba 17, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *