Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema mbio za Marathon zina faida ya kiafya, ajira na uchumi .
Rais Dk.Mwinyi amesema hayo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan katika msimu wa tatu wa mbio za Zanzibar International Marathon kuanzia kilometa 5, 10 na 21 zilizoshirikisha wakimbiaji wa nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, Ulaya na Amerika leo tarehe 29 Oktoba 2023 eneo la Forodhani, Mkoa wa Mjini Magharibi
Aidha Rais Dk.Mwinyi ameeleza katika kuvutia wageni kipindi chote cha msimu mdogo wa watalii tuwe tuna utalii wa matukio ikiwemo Tamasha la ZIFF, Sauti za Busara, pamoja na matukio ya kimichezo ikiwemo mbio za Zanzibar International Marathon kwa kuhamasisha kufurika wageni vipindi vyote msimu mkubwa na mdogo wa utalii.