Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amempongeza Spika wa Bunge la na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Tulia Akson, kwa ushindi wa Urais wa IPU na kumhakikishia Ushirikiano wa Wizara katika utekelezaji wa Majukumu yake Mapya.