RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA UJUMBE WA UGANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Uganda ukiongozwa na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa mara baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa mara baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Jijini Dar es Salaam Novemba 05, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambao umewasilishwa kwake na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *