RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MSAIDIZI WA UMOJA WA MATAIFA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA KIBINADAMU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *