RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WAZIRI NA MSHAURI – SERA WA ETHIOPIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kupokea Ujumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed, Ikulu Jijini Dar es Salaam, 6 Nov, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *