SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON, AMESHIRIKI IBADA MAALUM YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ISSA JUMA NANGALAPA AMBAYE NI KAKA WA WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki ibada maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Issa Juma Nangalapa ambaye ni Kaka wa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa iliyofanyika Ruangwa Mkoani Lindi leo tarehe 6 Novemba, 2023.

ibada maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Issa Juma Nangalapa ambaye ni Kaka wa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa iliyofanyika Ruangwa Mkoani Lindi leo tarehe 6 Novemba, 2023.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa msibani Ruangwa Mkoani Lindi leo tarehe 6 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *