MHE BALOZI SAID J MSHANA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MHE. FIFI MASUKA SAINI, GAVANA WA JIMBO LA LUALABA

Mhe Balozi Said J Mshana amekutana na kuzungumza na Mhe. FIFI MASUKA SAINI, Gavana wa Jimbo la Lualaba kujadili changamoto zinazowakabili madereva wa malori ya masafa marefu kutoka Tanzania. Gavana alimweleza Mhe. Balozi kuwa, ataitisha kikao baina Serikali ya DRC na wadau mbalimbali wa ndani na nje ya DRC ambacho kinatarajiwa kutoa maazimio ya kutatua changamoto za madereva na wasafiridhaji nchini DRC kabla ya tarehe 10 Nov 2023.

kikao baina Serikali ya DRC na wadau mbalimbali wa ndani na nje ya DRC ambacho kinatarajiwa kutoa maazimio ya kutatua changamoto za madereva na wasafiridhaji nchini DRC kabla ya tarehe 10 Nov 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *