Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco, tarehe 08 Novemba, 2023.