Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG), inayojenga mradi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Msalato jijini Dodoma kujadili masuala mbalimbali kuhusu mradi huo.