Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wameshuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini tarehe 17 Novemba 2023.