MAAFISA WA KUNDI LA 04/20 SHAHADA YA SAYANSI WAKIVALISHANA VYEO MARA BAADA YA KUTUNUKIWA KAMISHENI NA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI

Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 Refu (Regular), wakivalishana Vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan,

katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, (Tanzania Millitary Academy – TMA), Mkoani Arusha, tarehe 18 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *