RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIKAGUA GWARIDE LA HESHIMA KABLA YA KUTUNUKU KAMISHENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy – TMA), Mkoani Arusha, tarehe 18 Novemba 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *