RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKITUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA KUNDI LA 04/20 MONDULI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi

na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu, katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, (Tanzania Millitary Academy – TMA), Mkoani Arusha, tarehe 18 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *