RAIS KLAU IOHANNIS AKAGUA GWARIDE LILILOANDIWA NA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *