KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA, DKT. NATU EL-MAAMRY MWAMBA (KUSHOTO), AKISALIMIANA NA NAIBU KATIBU MKUU, JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA FORODHA, BIASHARA NA FEDHA,

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kushoto), akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Masuala ya Forodha, Biashara na Fedha, Bi. Annette Mutaawe, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kushoto), akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Masuala ya Forodha, Biashara na Fedha, Bi. Annette Mutaawe, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *