RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAKATI WAKISHIRIKI MOJA YA MIKUTANO COP28 UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki moja ya Mikutano kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *