Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Desemba, 2023.