RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA PICHA YA KUMBUKUMBU NA RAIS WA AFRIKA KUSINI, MHE. CYRIL RAMAPHOSA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) DKT. AKINUMWI ADESINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika picha ya kumbukumbu na Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *