RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, AKIZUNGUMZA NA VIJANA WANAOJISHUGHULISHA NA MASUALA YA MAZINGIRA NCHINI

Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Vijana wanaojishughulisha na masuala ya Mazingira nchini wakati alipotembelea Banda la Maonesho la Tanzania kwenye viwanja vya Expo Dubai wakati wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), UAE, 02 Des, 2023.

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Barbados, Mia Mottley mara baada ya kutoka kwenye Mkutano wa G77 kando ya mkutano Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *