Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Des, 2023.

Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia video fupi kuhusu matumizi ya Nishati ya kupikia kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Des, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan, akipiga makofi wakati Viongozi mbalimbali walipokuwa wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.