UZINDUZI WA NISHATI SAFI NDANI YA COP28 UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Des, 2023.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *