WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA KUTOKA NORWAY, MHE. ANNE BEATHE TVNNEREIM ASEMA UMUHIMU WA MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITAKAYOWASAIDIA WANAWAKE BARANI AFRIKA (AWCCSP),

Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Norway, Mhe. Anne Beathe Tvnnereim akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 02 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Norway, Mhe. Anne Beathe Tvnnereim akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 02 Desemba, 2023.

Viongozi mbalimbali wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *