Baadhi ya Viongozi na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba 2023.

Mkurugenzi mkuu wa CRDB BANK Bw, Majid Nsekela akiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba 2023.