Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi pamoja na Wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 03 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikana mikono na baadhi ya viongozi pamoja na wafanyabiashara kuonesha ushirikiano na Mshikamano wa Kupambana na magonjwa yasiopewa kipaumbele wakati wa Mkutano wa Afya, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 03 Desemba, 2023.