![](https://urtupdates.co.tz/wp-content/uploads/2023/12/GAqJtqBXQAA3maA-1024x683.jpg)
Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein mwinyi (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na rais wa benki ya dunia, bw. Ajay banga (wa kwanza kulia), waziri wa fedha mhe. Dkt. Mwigulu nchemba
(mb) (wa pili kushoto), waziri wa nchi ofisi ya rais fedha na mipango – zanzibar, mhe. Dkt. Saada salum mkuya (wa pili kulia) na makamu waziri mkuu wa cabo verde ambaye pia ni waziri wa fedha wa nchi hiyo, mhe. Olavo correia (wa kwanza kushoto), baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa tathmini ya muda wa kati wa mzunguko wa 20 wa benki ya dunia (ida20 mid-term review) unaohusisha wakopaji, nchi wahisani na menejimenti ya benki ya dunia, unaofanyika katika hoteli ya golden tulip (airport)- zanzibar, kuanzia leo tarehe 6 hadi 8 desemba, 2023.