Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Jorodom, eneo lililoathirika na mafuriko na maporomoko ya matope na mawe Wilayani Hanang Mkoani Manyara na kujionea uharibifu mkubwa uliotokea, kuwapa pole Waathirika wa maafa hayo na kuwaeleza kuwa Serikali ipo pamoja nao
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Ndugu Elibariki Naman mkazi wa Jorodom, Katesh ambaye ni muathirika wa Mafuriko yaliyotokea Wilayani Hanang. Ndugu Elibariki alikuwa akielezea jinsi majirani zake walivyopoteza maisha pamoja na makazi yao katika maafa hayo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga akielezea kuhusiana na athari za mafuriko yaliyotokea katika eneo la Jorodom Katesh Wilayani Hanang. Rais Samia ametembelea eneo hilo Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimfariji muathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh Bi. Salome Elifuraha ambaye amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tumaini iliyopo Katesh, Hanang. Mama amepoteza watoto wawili kwenye maafa hayo huku mtoto wa 3 akiwa bado hajapatikana hadi sasa.