RAIS WA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIELEKEA KUKAGUA ENEO LA JORODOM LILILOPO KATESH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kukagua eneo la Jorodom lililopo Katesh ambalo limeathirika vibaya na mafuriko pamoja na maporomoko ya matope na mawe Wilayani Hanang Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *