Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe. Samia suluhu hassan katika maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa tanzania bara pamoja na mchakato wa ukusanyaji maoni kuhusu dira ya taifa ya maendeleo 2050
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru kuhusu kazi mbalimbali ambazo zinafanyika katika Tume hiyo wakati wa Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru wakati wa Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba, 2023 pamoja na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na uzinduzi wa Mchakato wa ukusanyaji maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma 9 Desemba, 2023.