MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAJOELINA

WAZIRI MKUU

Kassim Majaliwa_ leo Desemba 16, 2023 ameungana na Marais kutoka nchi sita barani Afrika kwenye sherehe za kumuapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *